Iran: Wanafunzi wajikutana matatani baada ya maandamano

  • | BBC Swahili
    375 views
    Wanafunzi kote Iran wameongeza maandamano kupinga vikosi vya usalama vinavyoripotiwa kuwapiga na kuwafunga macho waandamanaji katika chuo kikuu cha Iran. Polisi waliwakimbiza wanafunzi hao kwenye maegesho ya magari katika Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Sharif, kisha ikaripotiwa kuwapiga na kuwafumba macho. Video iliyothibitishwa na BBC inaonyesha vikosi vikiwangoja wanafunzi na kuwachukua kwa pikipiki. #bbcswahili #iran #wanafunzi