- 19,724 viewsDuration: 1:11Iran imejibu shambulizi la pamoja la Marekani na Israel kwa kushambulia baadhi ya kambi za kijeshi za marekani ikiwemo Qatar na Bahrain. Milipuko na ving’ora vya mashambulizi ya anga vimesikika katika mji mkuu wa Qatar, Doha. Mwandishi wa BBC, Munira Hussein ana maelezo zaidi. #bbcswahili #iran #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw