Skip to main content
Skip to main content

Iran yakataa mpango wa amani wa Marekani na kutoa masharti ya kumaliza vita. Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    28,961 views
    Duration: 28:10
    Vyombo vya habari vya serikali ya Iran vinaripoti kwamba Tehran imekataa mapendekezo ya Marekani yanayolenga kusitisha vita vya sasa. Afisa mkuu wa usalama ambaye jina lake halikutajwa amenukuliwa akisema mzozo huo utaisha wakati Tehran itakapoamua, na pale masharti yake 5 mapya yatakapotimizwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw