Skip to main content
Skip to main content

Iran yakataa pendekezo la Marekani la kusitisha mapigano. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    104,758 views
    Duration: 28:03
    Iran imekataa pendekezo la Marekani la kusitisha vita kwa muda, ikisisitiza kwamba vita hivyo ni lazima vimalizike kabisa. Haya yanajiri wakati ambapo mashambulizi zaidi yameendelezwa katika eneo kuu la ukanda wa ghuba huku mlango wa bahari wa Hormuz ukisalia kufungwa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw