Skip to main content
Skip to main content

Iran yashambulia kituo kikubwa cha mafuta Qatar, vita vikipamba moto

  • | BBC Swahili
    17,162 views
    Duration: 11:31
    Iran imeapa kushambulia miundombinu ya nishati ya washirika wa Marekani na Israeli katika eneo la Ghuba hadi "itakapoharibiwa kabisa" ikiwa vituo vyake vya nishati vitalengwa tena. Naye Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kulipua kiwanda kikubwa cha gesi nchini Iran ikiwa itashambulia tena mshirika wa Marekani wa Kiarabu wa Ghuba, Qatar. #DiraYaDuniaTV