Isiolo: Watu wawili wadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi Rapso

  • | NTV Video
    Taharuki ingali imetanda katika kijiji cha Rapso katika kaunti ya Isiolo baada ya watu wawili kuuawa na washukiwa wanaodaiwa kutokea kaunti jirani ya Garissa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya