Israel na Hamas huenda wakafikia makubaliano ya kuwaachia mateka

  • | VOA Swahili
    547 views
    Makubaliano kati ya Israel na Hamas kuwaachia darzeni ya mateka wanaoshikiliwa katika maeneo ya Wapalestina huenda yanaendelea, kwa mujibu wa ripoti mpya. Makubaliano kama hayo huenda yakapelekea kuwepo kwa sitisho la muda la mapigano la muda huko Gaza ili misaada inayohitajika sana ivuke mpaka. Maafisa wa Marekani na Israel na wanasema makubaliano yoyote hayajakamilishwa. #voaswahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.