Israel yaendelea kushambulia Gaza.

  • | VOA Swahili
    1,851 views
    - - - - - #VOASwahili Rais wa Marekani Joe Biden ameelekeza msaada wa ziada kwa Israel kufuatia shambulizi la kushtukiza kwenye taifa la Kiyahudi lililofanywa na kundi la wanamgambo la Hamas siku ya Jumamosi. Mwandishi wa VOA Veronica Balderas Iglesias anaripoti kuhusu juhudi zinazofanywa kupunguza mivutano iliyosambaa.