Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Moshi mweusi ukitanda katika anga la Gaza Alhamisi (Disemba 28) mchana, kama inavyoonekana upande wa kusini mwa Israel, baada ya siku kadhaa za mashambulizi yasiyosita yaliyo walazimisha maelfu ya familia za Kipalestina zilizokuwa tayari hazina makazi kukimbilia katika hifadhi mpya.
Mamlaka za afya za Palestina zilisema watu 210 walithibitishwa kuuwawa katika mashambulizi ya Israel katika kipindi cha saa 24, na kufanya idadi ya vifo katika vita hivyo kufikia 21,320 – takriban asilimia moja ya idadi ya watu wanaoishi katika eneo hilo. Maelfu wengine zaidi waliokufa wanahofiwa kuwa wamezikwa au kupotea katika kifusi.
Israel ilipanua vita vya ardhini kwa nguvu zote kabla ya sikukuu ya Krismas licha ya kubembelezwa na mshirika wake wa karibu Marekani kupunguza kampeni hiyo ya mashambulizi katika wiki za kukaribia kumaliza mwaka.
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #GalMeirEizenkot #GadiEizenkot #wazirimkuu
15 Aug 2025
- This is after over 31 MCAs voted for his ouster.
15 Aug 2025
- The lecturers were scheduled to down their tools beginning August 20, 2025.
15 Aug 2025
- Several Kenyans have in the past complained of downtime.
16 Aug 2025
- US President Donald Trump and Russian counterpart Vladimir Putin will meet on Friday in Alaska in a high-risk summit that could prove decisive for the future of Ukraine.
16 Aug 2025
- The Nairobi Hospital has announced the suspension of its recent price adjustments following consultations with key insurance partners, who had initially withdrawn their services, leaving patients stranded.
16 Aug 2025
- Homicide detectives on Friday returned to Kwa Binzaro in preparation for the planned exhumation of eight graves that had been discovered late last month.
15 Aug 2025
- Kericho Governor Erick Mutai has been impeached. The embattled Governor was ousted after putting up a spirited defense throughout the day before the County Assembly.
15 Aug 2025
- A group of youth from Jacaranda in Embakasi who attended last Saturday’s State House empowerment event claim they never received the promised motorbikes and other items.
15 Aug 2025
- Nairobi Senator Edwin Sifuna has challenged President William Ruto to name those he accused of soliciting money from Cabinet Secretaries and Governors, citing that such remarks require proof.
15 Aug 2025
- Kajiado is marked as one of the counties where maternal and sexual reproductive health violations and obstetric violence cases are rampant.
15 Aug 2025
- The DP on Friday graced Tiaty Economic Empowerment engagement at Chemolingot town in the constituency where he avowed the rolling out of key projects geared at improving the lives of the residents.
15 Aug 2025
- Charity Nyambura, recently single, does not do butterflies
15 Aug 2025
- Videos seen by the Star showed members physically restraining one another while others exchanged harsh words