Skip to main content
Skip to main content

Israel yafanya nimbi la mashambulizi Lebanon

  • | BBC Swahili
    37,728 views
    Duration: 37s
    Israel limefanya mfululizo wa mashambulizi makubwa ya anga huko Lebanon huku ripoti zikidai kuna idadi kubwa ya vifo na majeruhi. Mashambulizi hayo yalilenga mitaa ya kusini ya Beirut, kusini mwa Lebanon na Bonde la Bekaa mashariki. Hii inatokea ikiwa ni saa chache baada ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu kusema kwamba kusitishwa kwa mapigano kati ya Marekani na Iran hakujumuishi Lebanon. #bbcswahili #lebanonnaisrael #Israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw