Israel yazidisha mashambulizi Gaza

  • | BBC Swahili
    2,067 views
    Watu 58 wameuawa katika mashambulizi ya Israel kaskazini na kati mwa Gaza. Hii inaongeza idadi ya mashambulizi tangu mwezi jana. Umoja wa mataifa umetoa wito wa kusitishwa kwa mapigano ili misaada iingie Gaza. Haya na mengine mengi na Hamida Abubakar katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #dirayadunia #diratv Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw