Itumbi ashtumu kuchelewesha kusikizwa kwa kesi ambapo alishtakiwa kwa kusambaza barua ghushi

  • | KBC Video
    28 views

    Katibu mwandamizi wa teknolojia ya mawasiliano Dennis Itumbi ameushtumu upande wa mashtaka kwa kuchelewesha kusikizwa kwa kesi ambapo alishtakiwa kwa kusambaza barua ghushi iliyodai kulikuwa na njama ya kumuangamiza Rais William Ruto alipokuwa naibu wa Rais. Itumbi alikuwa tayari kujitetea lakini upande wa mashtaka , ukaiambia mahakama haukuwa tayari kuendelea kutokana na ukosefu wa faili ya maafisa wa polisi. Hakimu Susan Shitubi aliutaka upande wa utetezi kuupa upande wa mashtaka nafasi ya mwisho huku kesi hiyo ikipangiwa kusikizwa mnamo tarehe 28 mwezi Julai mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #dennisitumbi #darubini