'IVF imenisaidia kupata mtoto na kumtambulisha kwa baba kabla hajafariki'

  • | BBC Swahili
    617 views
    Mama huyu ambaye hakuwa na mwenza aliamua kutumia matibabu ya uzazi ya kupandikiza kupata mimba ili aweze kumtambulisha mtoto kwa baba yake aliyekuwa mgonjwa sana. Keira, 27, kutoka Nottinghamshire, alitumia huduma ya bei nafuu ya IVF na mbegu za kiume kutoka katika sehemu maalumu za kuhifadhia huko Marekani. Alipata ujauzito baada ya awamu yake ya kwanza ya matibabu na akajifungua mnamo Mei 2021. #bbcswahili #marekani #ivf