Ivory Coast wawaondoa mabingwa watetezi Senegal katika Afcon

  • | BBC Swahili
    457 views
    Shuhudia nyuso za watu zilivyopatwa na furaha baada ya mikwaju ya penati kupigwa ambapo ilisababisha Ivory Coast kushinda 5 kwa 4 dhidi ya Senegal. Hawa ni mashabiki kutoka katika mji wa San Pedro waliokuwa wakifuatilia mpira kupitia runinga kubwa zilizowekwa kwenye eneo lililotengwa kwaajili ya mashabiki kuangalizia mpira bure. Mataifa hasimu haya kisoka yalishuka dimbani katika uwanja wa Charles Konan Banny katika mji wa Yamoussoukro. Mwandishi wa BBC @frankmavura aliyepo nchini Ivory alishuhudia sh@frankmavura - #bbcswahili #afcon #ivorycoast Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw