Jackton Odhiambo akanusha madai ya kumuua mwanamitindo Edwin Kiptoo

  • | K24 Video
    70 views

    Mshukiwa mkuu katika kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanamitindo Edwin Kiptoo maarufu kama Chiloba amekanusha mashtaka ya mauaji dhidi yake. Jackton Odhiambo leo amesomewa mashtaka ya mauaji katika mahakama kuu ya eldoret, ikiwa ni zaidi ya mwezi mmoja baada ya kukamatwa kwake. Odhiambo anahusishwa na mauaji ya chiloba ambaye alikuwa rafikiye.