Skip to main content
Skip to main content

Jacobeth Jeptoo aonyesha ushujaa baada ya kujaribu kuokoa maisha

  • | Citizen TV
    12,947 views
    Duration: 3:22
    Kijiji cha Chepkiep huko Mosop kaunti ya nandi kimesalia kwenye kumbukumbu za tanzia ya ajali ya ndege iliyoua watu sita akiwemo marehemu mbunge Johana Ng'eno. Hata hivyo, ni katika kijiji hiki ambapo taarifa ya ushujaa wa mama na bintiye umegonga vichwa vya habari kwa ujasiri wao baada ya ndege kuanguka. Mwanafunzi muuguzi Jacobeth Jeptoo na mamake walitwaa jukumu zito na kujaribu kuokoa maisha ya yeyote pindi baada ya ajali hiyo.