Jaji Chitembwe atimuliwa | Jopo la uchunguzi lampata na hatia

  • | KBC Video
    94 views

    Jaji wa mahakama kuu anayekabiliwa na matatizo Juma Said Chitembwe, sasa ana muda wa siku 10 pekee kupinga uamuzi wa kuondolewa kwake ofisini baada ya jopo lililobuniwa kuchunguza mienendo yake kumpata na hatia.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #saidchitembwe #News