Jaji mkuu awakosoa wanaoidhalilisha mahakama

  • | Citizen TV
    1,393 views

    Jaji mkuu Martha Koome amesema kwamba hatakubali idara ya mahakama kuingililiwa kwa tuhuma za ufisadi bila ushahidi wowote .Aidha amesema kwamba JSC iko tayari kupambana na visa vya ufisadi dhidi ya jaji yeyote atakayepatika na kesi ya ufisadi. Akionekana kumjibu Rais William Ruto ,Koome amewasihi wakenya kutetea katiba akiongeza kwamba hakuna mtu yeyote aliye juu ya katiba na kwamba matamshi pekee bila ushahidi hayana msingi wowote na kwamba idara ya mahakama haitababaishwa.