Jaji Mkuu Koome awahakikishia Wakenya kwamba uhuru wa mahakama utadumishwa kuambatana na katiba

  • | KBC Video
    201 views

    Jaji Mkuu Martha Koome amewahakikishia Wakenya kwamba uhuru wa idara ya mahakama utadumishwa kuambatana na kanuni za uhuru wa maamuzi unaolindwa na katiba. Akizungumza wakati wa mkutano na maafisa wa kibalozi na washirika wa maendeleo, Koome alitoa wito kwa washirika hao kuendelea kusaidia taasisi huru ili ziweze kutekeleza majukumu yao ya kikatiba ipasavyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive