Jaji mkuu Martha amewahakikishia majaji na maafisa wa idara ya mahakama kuwa idara itakuwa huru

  • | KBC Video
    Jaji mkuu Martha Koome amewahakikishia majaji na maafisa wa idara ya mahakama kuwa idara hiyo itakuwa huru huku akiwataka kutekeleza majukumu yao bila hofu na kuzingatia sheria.Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya