Jaji mkuu Martha Koome aongoza kutoa maombolezi ya jaji David Majanja

  • | Citizen TV
    3,330 views

    Rambirambi zinazidi kutolewa kumuomboleza jaji David Majanja ambaye alifariki hapo jana akipokea matibabu katika hospitali ya Nairobi