Jaji mkuu Martha Koome asema hakuna makubaliano kuhusu nyumba

  • | Citizen TV
    4,687 views

    Jaji mkuu Martha Koome ameitetea idara ya mahakama akisema kuwa hakuna maelewano yoyote kati ya serikali kuu na idara ya mahakama kama alivyotangaza rais William Ruto wikendi iliyopita. Msimamo wa Koome ukifuatia matamshi ya Rais alipokuwa Bomet kuwa wamekubaliana na mahakama kuhusu ushuru wa nyumba. Haya yanajiri huku Mahakama kuu ikidinda kusitisha utekelezaji wa sheria mpya ya nyumba za nafuu,