Jaji mkuu Martha Koome ataka mahakama kuachiliwa uhuru wake

  • | Citizen TV
    752 views

    Jaji Mkuu Martha Koome ametetea uhuru wa idara ya mahakama akisema kamwe haitayumbishwa na shutuma kuhusu utendakazi wake. Koome akitoa hakikisho kuwa majaji wataendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia katiba