Jaji Mkuu Martha Koome atamaushwa na kuendelea kupuuzwa kwa amri kuhusu War Memorial Hospital

  • | Citizen TV
    3,156 views

    Ardhi ya Hospitali ya kibinafsi ya War Memorial jijini Nakuru imekuwa ikizozaniwa kati ya serikali ya kaunti ya Nakuru na wamiliki wa hospitali hiyo kwa miezi minne sasa. mvutano ambao umelemaza shughli za kawaida katika hospitali hiyo. Jaji mkuu Martha Koome alilalamika kuwa amri sita za mahakama zimepuuzwa na serikali ya kaunti ya Nakuru pamoja na maafisa wa usalama,sasa majaji wawili wakijiondoa katika kesi hiyo. Maryanne Nyambura anaarifu zaidi.