6 Aug 2026 10:20 am | Citizen TV 857 views Duration: 2:27 Jaji Mkuu Martha Koome atangaza kuanzishwa kwa tawi la mahakama ya rufaa Kakamega na mahakama ya madai madogo Mumias, ili kuboresha upatikanaji wa haki na kupunguza ucheleweshaji wa kesi.