Jaji Mkuu Martha Koome atetea mahakama

  • | KBC Video
    49 views

    Akiongea wakati wa taarifa ya mwanzo ya tume ya kuwaajiri wahudumu wa afya, jaji huyo mkuu ambaye pia ni rais wa mahakama ya juu alisema kuwa amemwandikia rais akiomba wakutane ili kutatua utata ulioko. Aliongeza kuwa tume hiyo haijapokea malalamishi rasmi licha ya shutuma kutolewa dhidi ya maafisa wake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive