Jaji mkuu Martha Koome awataka wanasiasa wakome kuzungumzia masuala yaliyo kortini

  • | K24 Video
    44 views

    Hisia mbalimbali zimezidi kuibuliwa kuhusu vuta ni kuvute inayoshuhudiwa kati ya mahakama na serikali kuu. Wanasheria na wanasiasa wa upinzani wanamtaka Rais William Ruto aheshimu uhuru wa mahakama