Skip to main content
Skip to main content

Jaji Mohammed Warsame ameapishwa kama jaji wa Mahakama ya Upeo

  • | Citizen TV
    149 views
    Jaji Mohammed Abdullahi Warsame ameapishwa rasmi kama jaji wa mahakama ya upeo. kwenye hafla hiyo iliyofanyika katika ikulu ya nairobi, rais William Ruto alimtaja jaji Warsame kama ambaye amechangia pakubwa tasnia ya uanasheria. rais Ruto amemtaja warsame kama mwenye maadili ambayo yataimarisha idara ya mahakama na imani ya wananchi kwa idara hiyo. Warsame ni jaji wa 14 kuhudumu katika mahakama ya upeo.