Jaji Oscar Angote atupilia mbali kesi ya kupinga kilimo na uagizaji wa vyakula vya GMO kutoka nje

  • | Citizen TV
    257 views

    Mahakama ya mazingira imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga kilimo na uagizaji kutoka mataifa ya nje wa vyakula vilivyobadilishwa vinasaba au katika uamuzi wake,Jaji Oscar Angote amesema kwamba hakuna ushahidi kuonyesha kuwa ukuzaji wa vyakula vya GMO unaweza kudhuru afya ya binadamu au mazingira