Jaji wa mahakama ya wafanyikazi Nduma Nderi apigwa msasa

  • | Citizen TV
    Tume ya huduma za mahakama iliendelea na vikao vyake vya kuwasaili wawaniaji wa kiti cha Jaji Mkuu, leo ikiwa zamu ya jaji wa mahakama ya ajira Nduma Nderi. Jaji Nderi akiahidi kulipa kipaumbele suala la kukamilisha kesi zilizokwama mahakamani kuhakikisha walio na kesi wanapata haki.