Jakaya Kikwete: 'Kulikuwa na utulivi na amani ya kutosha'

  • | BBC Swahili
    5,875 views
    Waangalizi wa uchaguzi wanaofuatilia uchaguzi wa Kenya wanasema wameridhishwa na mchakato wa uchaguzi hadi pale ulipofika hivi sasa. Waangalizi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, Jumuiya ya Maendeleo ya kanda ya Afrika Mashariki na pembe ya Afrika IGAD wamesema mazingira ya uchaguzi yamekuwa ya amani ikilinganishwa na chaguzi zilizopita. Wiki hii Jakaya Kikwete alizungumza na wanahabari nchini Kenya. #bbcswahili #kenya #matokeoyauchaguzikenya2022