Jamaa mmoja kutoka atumia aina zote za plastiki kutengeneza petroli na dizeli

  • | K24 Video
    50 views

    Takriban tani milioni 19 za taka za plastiki hutupwa kila mwaka kote ulimwenguni, na kutishia zaidi mazingira ya majini na nchi kavu. imekisiwa kuwa asilimia 92 ya taka za plastiki humu nchini huishia kwenye mazingira kama vile majalala, mitoni , maziwani na hata baharini. Ni asilimia ndogo mno ya taka za plastiki hujadidiwa yaani kutumika kutengeneza bidhaa mpya. Jamaa mmoja kutoka kaunti ya murangá anavyotumia aina zote za plastiki kutengeneza petroli na dizeli, katika juhudi za kuhifadhi mazingira.