Jamaa sita wa familia moja waliangamia katika nyumba yao kufuatia mkasa wa moto Kipkelion Magharibi.

  • | KBC Video
    27 views

    Jamaa sita wa familia moja waliangamia katika nyumba yao kufuatia mkasa wa moto uliozuka usiku katika kijiji cha Tumoek, wadi ya Kunyak eneo-bunge la Kipkelion Magharibi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News