Jamaa ya wasio wa raia wa Kenya walalamika kuhusu vitambulisho vipya vya dijitali

  • | K24 Video
    90 views

    Zimesalia siku tatu kabla ya serikali kuzindua vitambulisho vipya vya dijitali vyenye utambulisho wa kipekee kuhusu data muhimu za mtumizi maarufu maisha card,lakini sasa jamii ya watu wasio na uraia wa kenya ikiwemo Washona ,Wanubi na wanyarwanda wanaitaka idara ya uhamiaji kuwasaidia vitambulisho vyao viweze kusomeka kwenye mtandao wa vitambulisho wa IPRS jamii hizo zinadai kuhangaika kupata huduma muhimu za serikali