- 307 viewsDuration: 1:36Jamaa za wapiganiaji uhuru wa Mau Mau watoa wito wa kufidiwa na serikali ya Uingereza, wakisisitiza kuwa bado kuna dhuluma ambazo hazijashughulikiwa kwa familia ambazo jamaa zao walipoteza maisha, kuteswa na kukandamizwa wakati wa enzi ya ukoloni.