Jamaa za waliofariki kwenye ajali zaomboleza

  • | Citizen TV
    6,017 views

    Kifaa cha kubeba data muhimu ya ndege maarufu black box kimepatikana katika eneo la ajali ya ndege iliyotokea mwihoko kaunti ya Kiambu. Kifaa hicho kinatarajiwa kutoa taarifa muhimu kuhusu kilichosababisha ajali hiyo. Na kama anavyoarifu franklin wallah, maafisa wa uchunguzi walifika eneo la tukio na kuandikisha taarifa za jamaa za watu waliofariki baada ya ndege hiyo kuangukia nyumba zao.