James avuka vizingiti Mtwapa, ageuza albinism kuwa njia ya mafanikio

  • | NTV Video
    341 views

    Je, wafanyeje wakati ulimwengu unaona tofauti yako kama udhaifu, na kila mlango unaobisha hugoma kufunguka? Kwa James, kijana anayeishi na ulemavu wa ngozi (albinism) huko Mtwapa, kaunti ya Kilifi jibu lilikuwa rahisi,na kujitengenezea njia yako mwenyewe, ya kujipatia riziki.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya