18 Aug 2025 10:40 am | Citizen TV 687 views Duration: 1:52 Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ameahidi kuinua riadha katika kaunti hiyo kwa kuwateua wanariadha wa zamani katika nafasi za uongozi katika wizara ya michezo