Jamii ambazo huwazika wapendwa wao katika hali ya kuketi

  • | K24 Video
    66 views

    Je, unajua makabila madogo ya jamii ya Abaluhya ambayo huzika wapendwa wao wakiwa wamekaa? Katika kaunti ya Bungoma, kuna jamii mbili ambazo huwazika wapendwa wao katika hali ya kuketi. Jamii ya Balunda, ambao ni wabukusu na ile ya Bakhibe kutoka Batura.