Jamii na KDF wapanda mikoko eneo la Dabaso

  • | Citizen TV
    768 views

    Jamii kutoka eneo la Dabaso kaunti ya kilifi wameshirikiana na maafisa wa kijeshi zaidi ya 150 na wanamazingira kuhifadhi mazingira kupitia upanzi wa miti ya mikoko Katika ufuo wa bahari hindi.