Jamii ndogo ya Abasuba yamsherehekea Mbadi

  • | Citizen TV
    1,996 views

    Jamii ndogo ya Abasuba anakotoka Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi walikongamana katika kituo cha Magunga kusherekea mwanawao na pia kufuatilia kikao cha kuwasilishwa kwa makadirio ya Bajeti Bungeni.