Jamii waandaa msafara wa kumbukumu la manusura na waathiriwa wa ajali za barabarani

  • | Citizen TV
    283 views

    Mamlaka ya usalama wa barabarani NTSA ikishirikiana na mashirika mbalimbali ya kijamii imeandaa shughuli ya kuhamasisha umma katika barabara kuu za mji wa Kisii. Shughuli hiyo inayoang'oa nanga katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Kisii inapania kuchangia upungufu wa ajali barabarani hususan msimu huu wa likizo ndefu