Jamii ya Abamohoro inayopatikana Uhurubay katika kaunti ya Migori

  • | Citizen TV
    109 views

    Uozo wa kitamaduni unashuhudiwa miongoni mwa jamii nyingi katika Kaunti ya Migori. Juhudi za kuokoa baadhi ya tamaduni zimesalia bila mafanikio, hali inayohusishwa na mambo kadhaa kama vile tamaduni za kuigwa kutoka nje