Jamii ya Bongomek yataka kurejeshewa ardhi yao ya jadi

  • | KBC Video
    30 views

    Kabila la Bongomek ambalo ni jamii ya wachache katika kaunti ya Bungoma, linaiomba serikali kulipwa fidia kufuatia makabiliano makali yaliyowalazimu kuyahama makazi ya mababu zao zaidi ya miongo mitatu iliyopita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive