Jamii ya Bukusu kuandaa sherehe za tohara kwa wavulana Agosti

  • | Citizen TV
    493 views

    Jamii ya Bukusu inapokaribia kuandaa sherehe za tohara kwa wavulana kuanzia mwezi wa nane mwaka huu, mjadala umeibuka kuhusu wazazi kuwapeleka wanao hospitalini kwa tohara.