18 Aug 2025 7:32 am | Citizen TV 196 views Duration: 2:23 Jamii ya Endorois inayoishi kando ya Ziwa Bogoria huko Baringo Kusini iliadhimisha siku ya Kimataifa ya Watu Wa Asili kwa kutoa wito wa uhifadhi wa utamaduni na mazingira