Jamii ya Ilchamus yaandaa sherehe ya tohara

  • | Citizen TV
    361 views

    Jamii ya Ilchamus imeandaa karamu ya kusherehekea msimu wa upashaji tohara ambao huja baada ya kila miaka kumi.kwenye sherehe hiyo iliyoandaliwa maeneo ya meisori katika kaunti ya Baringo , barobaro zaidi ya elfu tano walipongezwa kwa mafanikio ya kuukumbatia utu uzima.