Jamii ya Tiriki imeitaka serikali kuwapa ruhusa ya kurejelea adhabu ya kitamaduni kwa visa vya Mahar

  • | West TV
    347 views
    Baraza la wazee wa jamii ya tiriki kaunti ya vihiga inaomba serikali kuiruhusu kutatua kesi za watoto wanaozaliwa kati ya watu wa ukoo mmoja kwa njia ya kitamaduni ili kutatua ongezeko la visa hivyo katika jamii hiyo, kauli iliyoonekana kuungwa mkono na gavana wa kaunti hiyo wilber otichillo alipohudhuria maonyesho ya utamaduni wa jamii ya tiriki