Jamii ya Wachonyi imepata bibilia ya Kichonyi

  • | Citizen TV
    151 views

    Jamii ya Wachonyi katika Kaunti ya Kilifi imefurahia kutafsiriwa kwa Bibilia katika lugha yao ya kiasili.