Jamii ya wapemba sasa itapewa vitambulisho vya Kenya

  • | Citizen TV
    782 views

    Jamii ya wapemba humu nchini imekuwepo kwa miaka mingi bila kutambulika kama raia na kukosa huduma muhimu za serikali.